BANDA MEDIA BLOG

WANAFUNZI 111 WA MARTIN LUTHER WAPATA SAKRAMENTI TAKATIFU YA KIPAIMARA SHULENI HAPO

Askofu Mkuu wa Kanisa Kuu Katoliki la Dodoma Beatus Kinyaiya azunguma jambo wakati alipokuwa akihubiri katika ibada ya kiapaimara hiyo
Wahitimu wa kike wa kipaimara

Mkurugenzi wa Shule ya Martin Luther Mmanga Rabiel akifanua jambo wakati alipokuwa akitoa usia kwa wazazi wa watoto wanaosoma katika shule hiyo IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG

Keki kabla haijakatwa

Picha Mbalimbali za kufundishia zikiwa katika ukuta wa shule hiyo

Jengo la Shule hiyo

sehemu ya madhabahu ya kanisa hilo

Mmoja wa wazazi akitoa shukurani

jengo la kanisa shuleni hapo

Majadiliano na MC wa shuhuli hiyo

Askofu akiongoza sala ya kipaimara

Askofu huyo akilishwa Keki kwenye sherehe ya kuwapongeza watoto hao

Asikofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma Beatus Kinyaiya Pamoja na Mkurugenzi wa Shule ya Martin Luther Mmanga Rabiel wakifuatilia jambo wakati wakiwaangalia watoto wa shule hiyo wakitoa burudani

Mkurugenzi huyo akiapongeza walimu ambao pia wakitoa huduma ya kiroho katika shule hiyo

Mmmoja wa watoto waliopata kipaimara akimlisha keki mkurugenzi wa shule ya Martin Luther Mmanga Rabiel



Baadhi ya Watoto waliopata Ekarsti Takatifu ya kipaimara

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG