BANDA MEDIA BLOG

WATENDAJI WA OFISI YA MAKAMU WA RAIS IDARA YA MAZINGIRA WAHOJIWA NA KAMATI YA BINGE

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Ricahard Muyungi akitoa ufafanuzi jinsi Ofisi hiyo ilivyojipanga kiutendaji, mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira

Mbunge wa jimbo la Nkenge Kagera  Dkt, Diodorus Kamala akifafanua jambo wakati alipokuwa akitoa ushauri kwa watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira walioambatana na Wazri wao January Makamba kwa ajili ya kuhijiwa na kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira  IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG


Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Geita Vicky Kamata akizungumza jambo wakati kamati hiyo ilipokuwa ikiwahoji watendaji wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mazongira


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira January Makamba akizungumza jambo wakati alipokuwa akijibu Hoja za wabunge wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira ambapo watendaji wa Ofisi hiyo waliitwa kuhujiwa


Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG