![]() |
| Mbunge wa jimbo la Chilonwa mkoani Dodoma Joel Mwaka aliyekuwa mgeni rasmi akifurahia jambo wakati alipokuwa akizungumza kwenye kongamano hilo |
![]() |
| Ofsa Tawala wa Wilaya ya Dodoma Mjini akizungumza kwaniaba ya mkuu wa wilaya hiyo Christina Mndeme |
![]() |
| Kiongozi wa Doyodo |
![]() |
| Mbunge Joel Mwaka akizindua vitabu vya matokeo ya utafiti wa changamoto mbalimbali zinazowakabiri vijana, uliofanywa na British Council IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG |
![]() |
| Vijana wakiwa katika kongamano hilo |
![]() |
| picha ya pamoja |
Tags
ELIMU











