BANDA MEDIA BLOG

GHADAFI MJINI DODOMA WAFANYA IBADA YA EID EL HADJ

Kaimu Shekh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Ahamed Said akiteta jambo na Mkurugenzi wa Bakwata wa mkoa huo Hamis Balawa mara baada ya ibada ya Eid el hadj iliyofanyika katika Msikiti wa Ghadafi mjini Humo



Nje ya Msikiti wa Ghadafi Mtoto akipiga miayo mbele ya mwenzake mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya Eid el hadj IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG        

Wakina mama  wakijiandaa kuondoka baada ya Ibada hiyo
Wakina mama wakiwa wamemshika mtoto mikono wakati alipokuwa  wakitoka katika ibada ya Eid el hadj iliyofanyika katika msikiti wa Ghadafi




Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG