BANDA MEDIA BLOG

MAHAFALI YA WAHITIMU WA DARASA LA SABA KATIKA SHULE YA MARTIN LUTHER MJINI DODOMA YAFANA.

Mwanafunzi apata tuzo ya heshima, jina lake labandikwa shuleni Martin Luther Dodoma

Wasichana walihitimu  Darasa la saba katika shule ya Martin Luther iliyopo mjini Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja

Wadau wa Blog hii wakiwa katika picha ya pamoja na mtoto wao aliyehitimu Darasa la 7 katika shule ya Martin Luther mjini Dodoma IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG

Wazazi wa mhitimu wa Darasa la saba wakiwa katika Pozi la picha na mtoto wao

Wanafunzi wawili wa kike na kiume waliofanya vizuri kwenye nidhamu wakiwa na wazazi wao siku ya mahafali shule ya Martin Luther mjini Dodoma.

Mzazi akiwa na uso wa furaha na mtoto wake siku ya mahafali katika shule ya Martin Luther mjini Dodoma.

Wanafamilia wakiwa katika picha ya pamoja na muhitimu siku ya mahafali ya darasa la saba katika shule ya Martin Luther mjini Dodoma.

Ni kama wanasema, 'hongera mwanetu'

Muhitimu akiwa kashika zawadi mbalimbali alizopewa na wazazi wake siku ya mahafali.

Mkurugenzi wa shule ya martin Luther (mwenye tai nyekundu aliekaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na walimu na wahitimu wa darsa la saba septemba 2016, shuleni hapo.


Mwanafunzi akiinua juu cheti kwa furaha ya kuhitimu darasa la saba mbele ya uongozi wa shule ya Martin Luther mjini Dodoma.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG