| Vijana wakimpeperusha njiwa wa amani |
| Washiriki wa Mdahalo kuhusu Amani uliofanyika mjini Dodoma Kitaifa wakiimba wimbo wa taifa |
| Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana akifungua mdahalo huo uliohudhuliwa na watu zaidi ya 500 wakiwemo wanavyuo IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG |
| washiriki walivyofurika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere wakati mdahalo huo ukiendelea |
| Mratibu wa kitengo cha utawara bora UNDP Godfrey Mulisa akitoa hutuba ukumbini hapo |
| Picha ya pamoja wakiwa na Mabango yenye jumbe mbalimbali zinazohamasisha Amani Duniani |
| Jaji wa Mhakama Kuu Divisheni ya Ardhi Sophia Wambura akitoa mada kwa washiriki wa mdahalo huo |
| Mbunge wa Jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa akifafanua jambo wakati alipokuwa akitoa mada ya namna rashwa inavyoweza kusababisha uvunjifu wa ambani |
| Naibu Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa [Takukuru] Mkoani Dodoma Cosmas Batanyita akielezea namna taasisi yake inavyopambana na Ruswa |
| Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Dini Mbalimbali la Amani Tanzania [ IRCPT] Rev Canon Thomas Godda akieleza jambo |
| Mtafsili wa Lugha ya alama akiwatafria washiriki wasiyosikia mada zinazoendelea |
| Mbunge wa jimbo la Morogoro Kusini Mashariki Omary Gumbo akizungumza wakati wa mdahalo huo |
| Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini Anthon Mavunde katika mdahalo huo |
| wanafunzi wakiwa na herufi za zenye ujumbe wa amani Dodoma |
| Ofisa habari wa kituo cha habari cha umoja wa mataifa [UN] Stella Vuzo akihitimisha mdahalo huo kwa kutoa shukrani kwa washiriki |
Tags
HABARI KITAIFA