| Mgeni rasmi Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamini William Mkapa, akitoa neno kwa Wageni waalikwa kwenye Jioni ya Bwanjai, kabla ya kuzindua rasmi filamu ya NshabaOntwale Nyakijoga ‘ Nipeleke Nyakijoga ‘ Uzinduzi wa filamu hiyo ya utalii ulifanyika, katika Ukumbi wa Kardinali Rugambwa Social Centre, Oysterbay Jijini Dar es Salaam. |
Tags
KIBURUDANI



