BANDA MEDIA BLOG

SIKU YA KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE YAWA TAMU KWA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU NA WENYE MAAMBUKIZI YA UKIMWI KWA KUPEWA MSAADA NA NMB TAWI LA MAZENGO DODOMA

Katikati ni meneja wa Tawi la NMB Mazengo Pamela Mahali na wafanyakazi wenzake wakiwapakulia chakula watoto wanaolelewa na Masista wa Nyumba ya Matumaini Miyuji Dodoma, ambapo wafanyakazi wa Benki hiyo pamoja na kula nao pia walipeleka zawadi mbalimbali zikiwemo vyakula, mashuka na magodoro

Masista wa Nyumba ya Matumaini Miyuji Dodoma wakipakuliwa chakula na watumishi wa Benki ya NMB Tawi la Mazengo waliofika kituoni hapo kupeleka zawadi mbalimbali kwa watoto wanaolelewa katika nyumba hiyo

Watoto hao wakipata chakula hicho siku ya kumbukumbu ya kifo cha hayati Baba wa Taifa aliyefariki miaka 17 iliyopita

Mmoja wa Masista wa nyumba hiyo ya Matumaini akimlisha mmoja wa watoto wa chini ya miaka 2 wanaolelewa katika kituo hicho

Maofisa wa NMB Tawi la Mazengo wakitoa zawadi ya mfuko wa sabuni kwa Sista Mkuu wa Nyumba ya matumaini inayolea watoto wanaoishi katika mazingira magumu IMETENGENEZWA NA BANDA BLOG

Meneja wa NMB Tawi la Dodoma Rehema Naseeb pamoja na mfanyakazi wa Tawi la Mazengo Naomi Ndese wakiwa wamewapakata watoto wa wanaolelewa katika nyumba ya matumaini iliyopo Miyuji Dodoma ambapo wafanyakazi hao walipeleka zawadi mbalimbali ikiwemo kula nao chakula cha mchana

Mmoja wa watoto hao akipokea Godoro

Picha ya pamoja

Watoto hao wakiangalia baadhi ya zawadi walizokabidhiwa

Meneja wa Tawa la NMB Mazengo Pamala Mahali akimpa mkono mmoja wa watoto wanaolelewa na kituo cha Nyumba ya Matumaini mapema wakati akiingia kituoni hapo

Watoto wakitumbuiza kwa nyimbo na Ngoma baada ya kupokea misaada hiyo

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG