BANDA MEDIA BLOG

VIONGOZI WA UMOJA WA WANASALAMU MKOA WA DODMA [UWASADO] WAFANYA ZIARA WILAYANI KONGWA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanasalamu Mkoa wa Dodoma [UWASADO] Ramadhan Muzazi's [Mzee wa Langolango akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na wanasalamu wa Wilaya ya Kongwa na Gairo walipokuwa kwenye ziara ya kuimarisha umoja huo, kikao kilifanyika mji mdogo wa kibaigwa

Wakinamama wanasalamu toka Gairo mkoani Morogoro wakiwa katika mkutanao huo wa Umoja wa wanasalamu Mkoa wa Dodoma uliofanyika mji mdogo wa kibaigwa wilayani kongwa mkoani humo

Mmoja wa viongozi wa UWASADO akizungumza jambo wakatia alipokuwa akisoma malengo ya ziara hiyo mbele ya wanasalamu wilayani humo

Wanasalamu wa wilaya za Kongwa na Gairo wakiwa katika mkutano ulioitishwa na viongozi wa UWASADO kwa ajili ya kuimalisha umoja huo, uliofanyika kibaigwa [PICHA ZOTE NA JOHN BANDA]


waliokaa mbele ni Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa UWASADO Wilaya ya Kongwa waliochaguliwa baada ya viongozi wa umoja huo  Mkoa wa Dodoma kufika kufanya ziara ya kuuimarisha

Baadhi ya wanasalamu Hao wakiwa katika pozi la picha
Meneja wa kituo cha Redio cha A FM cha mjini Dodoma akigawa zawadi ya Kofia zenye nembo ya Kituo Hicho kwa viongozi wapya wa wanasalamu wa UWASADO wilayani Kongwa waliochaguliwa baada ya viongozi wao wa Mkoa kufanya ziara wilayani humo
 
Picha ya Pamoja





Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG