BANDA MEDIA BLOG

HAYA NDIYO MAJINA WACHEZAJI 24 WA STARS WATAKAOIVAA ZIMBABWE KATIKA MECHI YA KIRAFIKI NOVEMBA 13,2016, HUKU SAMATA AKIWA NAHODHA

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars November 13 2016 itacheza dhidi ya timu ya taifa ya Zimbabwe katika mchezo wa kirafiki, Taifa Stars itacheza mchezo huo wa kirafiki katika mji wa Harare Zimbabwe.
Leo November 4 2016 yametajwa majina 24 ya wachezaji watakaiongoza Tanzania kucheza dhidi ya Zimbabwe, majina yote 24 yakiongozwa na nahodha wao Mbwana Samatta yamechaguliwa na kocha mkuu Charles Boniface Mkwasa.

View image on Twitter

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG