Mke wa mgombea urais Marekani
kupitia chama cha Republican Melania Trump, ametoa hotuba ya kampeni
isiyo ya kawaida kuhusu uchaguzi utakaofanyika Jumanne ijayo novemba 8.Amesema kuwa mume wake anaipenda Marekani na ameahidi kuifanya kuwa nchi yenye nguvu kwa mara nyingine.

Donald Trump aliwahi kuhutubia jimboni hapo, kabla ya kwenda North Carolina.
Bi Clinton pia ataenda kufanya kampeni jimboni hapo.
Tags
SIASA