BANDA MEDIA BLOG

Picha: Vibosile wa Simba walivyoishuhudia timu yao ikiangamizwa na Prisons

img_4535
Vongozi wa juu wa Simba walikuwepo kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya wakiishuhudia kutoka jukwaani timu yao ikitulizwa na maafande wa jeshi la Magereza la jijini Mbeya.
Mara kadhaa viongozi hao wamekuwa wakisafiri na timu hususan wakati Simba ikifanya vyema katika mechi zake za ligi kuu Tanzania bara msimu huu.
img_4541
Vibosile hao pia walionekana kwenye mechi za Simba za mkoani Shinyanga ambapo walifanikiwa kuondoka na pointi 6 baada ya kuzifunga Mwadui FC na Stand United,

Safu ya utawala ya Simba ilikuwa imetimia mkoani Mbeya, alikosekana Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ (alikuwepo kwenye mechi zote mbili za Shinyanga) na Rais wa Simba Evans Aveva ambaye yeye amekuwa haonekani kwenye mechi za mikoani.
img_4529

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG