
Rais wa Zambia Mhe.Edgar Chagwa Lungu akiingia katika eneo la Mradi wa Bomba la Mafuta unaoshirikisha Tanzania na Zambia (TAZAMA) kuangalia shughuli za usafirishaji zinavyofanyika.Kulia kwake ni Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo.
Picha na Daudi Manongi-MAELEZO.

Rais wa Zambia Mhe.Edgar Chagwa Lungu akipata maelezo kuhusu mradi wa bomba la mafuta kati ya Tanzania na Zambia(TAZAMA) leo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.Katikati ni Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo.



Rais wa Zambia Mhe.Edgar Chagwa Lungu akiuliza swali kwa mmoja wa wafanyakazi wa TAZAMA wakati alipotembelea mradi wa bomba la mafuta wa ushirikiano kati ya Tanzania na Zambia (TAZAMA) leo Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Katikati ni Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo.

Rais wa Zambia Mhe.Edgar Chagwa Lungu akipokea zawadi kutoka kwa mwakilishi wa wafanyakazi wakati alipotembelea mradi wa bomba la mafuta kati ya Tanzania na Zambia (TAZAMA) leo Kigamboni Jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo

Rais wa Zambia Mhe.Edgar Chagwa Lungu akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa mradi wa bomba la mafuta kutoka Tanzania mpaka Zambia(TAZAMA) baada ya kufanya ziara katika mradi huo leo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo akiondoka katika eneo la mradi wa kusafirisha mafuta kutoka Dar es Salaam mpaka Zambia Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Tags
HABARI KITAIFA