Viongozi wa serikali, Vyama vya
siasa na wabunge wakisafiri kutoka Dodoma kwenda Dar es salaam kwa ndege
mpya ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) ya Bombardier,
Novemba 13,
2016. Wote walikwenda Urambo Tabora kumzika Spika Mstafu Samuel Sitta
Novemba 12, 2016. Kutoka kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe
Mary, Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na Kiongozi wa Upinzani
Bungeni Freeman Mbowe.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Tags
USAFIRISHAJI