Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye ni mbunge wa Ruangwa
akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Manokwe katika wilaya ya Ruangwa ambao
walijitokeza kumsikiliza mbunge wao alipokuwa anawahimiza kufanya kazi
ilikujileta maendelo katika wilaya ya ruangwa Waziri mkuu yupo Jimboni Ruangwa
kwa ziara ya kikazi Picha na
Chris Mfinanga
|