Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Manuel
Olveira Guterres wakati alipokuwa kwenye mojawapo ya vikao vya Umoja wa
Afrika (AU) vinavyofanyika katika Makao makuu yake mjini Addis Ababa
nchini Ethipia. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Balozi Augustine Mahiga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akizungumza jambo na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati alipokuwa
kwenye mojawapo ya vikao vya Umoja wa Afrika (AU) vinavyofanyika katika
Makao makuu yake mjini Addis Ababa nchini Ethipia. PICHA NA IKULU
Tags
HABARI KITAIFA

