BANDA MEDIA BLOG

MBUNGE WA JIMBO LA TANGA AMKABIDHI MSAADA WA BAISKELI MKAZI WA TONGONI


Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF)Mussa Mbaruku akimuelekeza namna ya kuitumia Baiskeli ya kutembelea mkazi wa Mtaa wa Tongoni Jijini Tanga,Mwinchumu Ally jana mara baada ya kumkabidhi ikiwa ni ahadi aliyemuahidi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka juzi

Mbunge wa Jimbo la Tanga(CUF) Mussa Mbaruku kulia akimkabidhi baikeli mkazi wa Mtaa wa Tongoni Jijini Tanga,Mwinchumu Ally jana ambaye anamatatizo ya ulemavu wa miguu kwa ajili ya kutembelea ikiwa ni kutimiza ahada aliyomuahaidi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
mwaka juzi,
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG