Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akisindikizwa na
kiongozi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe baada ya kuwasili
jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.( Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kushoto), akisalimiana na
viongozi wa Idara za wizara yake hiyo jijini Mbeya baada ya kuwasili
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe kwa ziara ya kikazi.( Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akiweka saini katika
kitabu cha wageni baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Songwe, jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.Wengine ni viongozi wa idara za
wizara yake jijini hapo( Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo
ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(katikati), akizungumza na
aliyewahi kuwa kiongozi katika Serikali zilizopita,Profesa David
Mwakyusa (kushoto), baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Songwe, jijini Mbeya kwa ziara ya kikazi.(Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Tags
HABARI KITAIFA