Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai akifafanua jambo mbele ya kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi katika Kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma. |
Wajumbe wa kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Faustine Ndugulile akifafanua jambo katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma. |
Tags
Bunge