BANDA MEDIA BLOG

Huu Ndio Ujumbe Alioandika Askofu Gwajima Akiambatanisha na Picha ya RC Makonda..!!!!


"Mchana na usiku huzunguka kutani mwake; Uovu na taabu zimo ndani yake; Tamaa mbaya zimo ndani yake; Dhuluma na hila haziondoki mitaani mwake. Kwa maana aliyetukana si adui; Kama ndivyo, ningevumilia. Aliyejitukuza juu yangu siye anichukiaye; Kama ndivyo, ningejificha asinione. Bali ni wewe, mtu mwenzangu, Rafiki yangu, niliyejuana nawe sana. Tulipeana shauri tamu; na kutembea Nyumbani mwa Mungu pamoja na mkutano."
ZAB. 55:10‭-‬14 SUV

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG