![]() |
| Afsa Utetezi wa Shirika la kimataifa la UNDER THE SAME SUN linalotetea watu wenye Ualbino Kondo Seif akifafanua jambo wakati alipokuwa akizungumza na Wauguzi wa Afya wa kituo cha makole mjini Dodoma |
![]() |
| Mkurugenzi wa Shirika la Kimataifa la ANDER THE SAME SUN Vicky Ntetema akizungumza na wahudumu hao wa Afya katika kituo hicho |
![]() |
| Wahudumu hao wakionyeshwa picha zinazoonyesha jinsi ualbino ulivyoenea katika mataifa mbalimbali Duniani ikiwemo Tanzania [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG] |
![]() |
| Mmoja wa wahudumu katika shirika hilo Pepetua akiongea na wahumu hao wa afya [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG] |
![]() |
| Mmoja wa Madaktari Hospitalini hapo akipokea vipeperushi mbalimbali vyenye habari za watu wenye ualbino ikiwemo namna ya kuwahudumia pindi wanapokua na changamoto za kiafya |
Tags
AFYA







