Hatimaye Leo Kamishina mkuu Wa Mamlaka ya kudhibiti madawa ya kulevya
nchini amekosoa mtindo aliokuwa akitumia bwana Makonda kutaja watuhumiwa
hadharani kuwa haufuati sheria.
Akihojiwa na redio sauti ya ujerumani jioni hii alipo ulizwa swali ni
Kwa nini hawakutangaza Majina ya watuhumiwa Wa madawa ya kulevya Kama
hapo awali Bwana Rogers Sianga kamishina mkuu alisema hivi.
Kwanza ktk kupambana na madawa ya kulevya ni lazima uzingatie sheria,
Kwa kusema hivyo ana maana kuwa Makonda alikuwa anavunja sheria
kutangaza watuhumiwa.
Pili akasema hawawezi kumkamata mtu bila kuwa na ushahidi wowote Kwa
kuwa wapo wanaotoa taarifa zisizo sahihi na za chuki jambo linalo weza
kuleta uonevu Kwa RAIA wema. Lazima wafanye kwanza uchunguzi kabla ya
kumkamata au kumhoji mtuhumiwa.
Tags
BIASHARA HARAMU
