Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akijibu hoja za wabunge
ameviagiza vyombo vya usalama kumtafuta mtu anayejulikana kwenye
mitandao ya kijamii kama "James Delicious" kwa kujitangaza kama shoga
kinyume cha sheria na kumfikisha mbele ya sheria kujibu tuhuma za
kuendesha biashara ya kuuza ngono ya kinyume cha maumbile.
Tags
BIASHARA HARAMU
