Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu amekamatwa na Polisi muda huu wa
saa 12.00 siku ya jumatatu tarehe 06.02.2017 akiwa anatoka Bungeni huko
Dodoma. Haijajulikana hasa sababu za kukamatwa Kwake.
Chanzo. Mkuregenzi wa Itifaki na Mawasiliano ,Uenezi na Mambo ya nje Chadema John Mrema.