Mbunge wa viti maalum mkoa
wa Iringa Ritta Kabati (CCM) akimkabidhi mwenyekiti wa waandishi wa habari mkoani Iringa moja ya jezi alizotoa kwa waandishi wa habari kwa ajili ya mechi mbalimbali za timu hiyo
wa Iringa Ritta Kabati (CCM) akimkabidhi mwenyekiti wa waandishi wa habari mkoani Iringa moja ya jezi alizotoa kwa waandishi wa habari kwa ajili ya mechi mbalimbali za timu hiyo
Mbunge
wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) ameipiga jeki
timu ya wandishi wa habari mkoa wa Iringa kwa kuwapatia jezi seti
moja ,mpira napesa taslim kiasi cha Tsh 50O,000 ili viwasaidie katika
malengo yao ya kukipiga ligi daraja la kwanza .
Mbunge
wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) ameipiga jeki
timu ya wandishi wa habari mkoa wa Iringa kwa kuwapatia jezi seti
moja ,mpira na pesa taslim kiasi cha Tsh 50O,000 ili viwasaidie katika
malengo yao ya kukipiga ligi daraja la kwanza .
Akikabidhi msaada huo kwa mwenyekiti wa chama cha wandishi wa habari mkoa wa Iringa
Frank Leonard juzi mbunge huyo alisema kuwa yeye kama mlezi wa timu hiyo ameamu kujingiza kwa miguu yote kuisaidi timu hiyo ambayo inaonekana kufanya vema kwenye mchezo wa soka mkoani
hapo .
Frank Leonard juzi mbunge huyo alisema kuwa yeye kama mlezi wa timu hiyo ameamu kujingiza kwa miguu yote kuisaidi timu hiyo ambayo inaonekana kufanya vema kwenye mchezo wa soka mkoani
hapo .
Kabati
alisema kuwa licha ya kuwa mpira ni ajira pia unamsaidia mtu kuwa na
afya njema itakayomsaidia kujiepusha na magonjwa yanayoepukika ikiwemo
presha .“Niwatie moyo hichi mulichokianzisha ni kizuri na timu yenu ina
fanya vizuri na juzi tu mumenyakua kombe la Spanest kwa kuwanyuka
kitisi huu ni ushahidi tosha mukiendelea hivi hivi mutakuja kuingia ligi
daraja la kwanza na baadaye ligi kuu .
Kabati
aliwataka wadau wengine mkoa Iringa na nje ya Iringa kuendelea
kujitolea kuisaidia timu hiyo ya wanahabari ili iendele kufanya
vema ndani na nje ya mkoa wa iringa
Akipokea
vifaa hivyo mwenyekiti wa wanahabari mkoa wa Iringa Frank Leonard
alimshukuru mbunge huyo kwa vifaa na fedha alizotoa huku akimuahidi
mbunge huyo kuwa timu hiyo itakipiga na timu mbalimbali ikiwemo timu ya
bunge la jamuhuri wa muungano wa Tanzania
Frank
alisema kuwa timu hiyo imekuwa ikifanya vema kutokana na kuwa na
wandishi wazuri vijana waliona ari ya kusakata kambumbi hivyo ni vema
timu ya bunge kujipanga kisawasa kwani hawata toka salama pindi
watakapokipiga nao mjini dodoma
Tags
MICHEZO KITAIFA