Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania ( TAWLA ), Athanasia Soka
akifungua mkutano wa wadau wa sekta ya afya ya uzazi leo jijini Dar es
Salaam kujadili maswala mbalimbali kuhusiana haki za Wanawake katika
vifo vinavyotokana na afya ya uzazi kwa Wakina Mama na Watoto wanapo jifungua.
Mhadhiri
Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Afya na Tiba Hurbert Kairuki ( HKMU ), Dk.
Pensiens Mapunda akielezea vifo vanavyotokana na uzazi wakati wa
mkutano wa wadau wa sekta ya afya ya uzazi leo jijini Dar es Salaam
wakujadili maswala mbalimbali kuhusiana haki za Wanawake katika
vinavyotokana na afya ya uzazi kwa Wakina Mama na Watoto.uliofanyika leo
jijini Dar es Salaam.
Mwezeshaji
wa mkutano huo, Bi Kavinya Makau akielezea mada mbalimbali wakati wa
mkutano wa wadau wa sekta ya afya ya uzazi leo jijini Dar es Salaam wa
kujadili maswala mbalimbali kuhusiana haki za Wanawake katika
vinavyotokana na afya ya uzazi leo jijini Dar es Salaam.
Wakili
wa Serikali Mkuu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Charles Mmbando
akielezea kisheria ya haki ya Afya ya uzazi wa mkutano wa wadau wa
sekta ya afya ya uzazi leo jijini Dar es Salaam wakujadili maswala
mbalimbali kuhusiana haki za Wanawake katika vinavyotokana na afya ya
uzazi kwa Mama na mtoto uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa washiriki wa mkutano huo akichangia mada yake.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Chama Cha wanasheria wanawake ( TAWLA ), Bi Tike Mwambipile
akifafanua jambo wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya afya ya uzazi
leo jijini Dar es Salaam wa kujadili maswala mbalimbali kuhusiana haki
za Wanawake katika vinavyotokana na afya ya uzazi leo jijini Dar es
Salaam.
Washiriki wa mkutano wakifuatilia mada mbalimbali wa kati wa mkutano huo.
Wakwanza
kushoto, Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania ( TAWLA
), Athanasia Soka ( kulia kwake) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chama Cha
wanasheria wanawake TAWLA Bi Tike Mwambipile pamoja na wadau wa sekta ya
afya wakiwa katika mkutano huo.
Wakili
wa Serikali Mkuu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria, Charles Mmbando
(kushoto) wakishauriana jambo wakati wa mkutano huo leo.
Mwenyekiti
wa Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania ( TAWLA ), Athanasia Soka
(wanne katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa afya
PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWEBLOG
Tags
AFYA