Timu ya Dar es Salaam Young
Africans imecheza mchezo wake wa marudiano wa Club Bingwa Afrika dhidi
ya N’gaya Club, baada ya mchezo wa kwanza uliyochezwa Comoro kumalizika
kwa Yanga kupata ushindi wa 5-1,
YANGA imefanikiwa kusonga mbele katika Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika licha ya kupata sare ya bao 1-1 dhidi ya Ngaya Club ya Comoro kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, leo Jumamosi Fubruari 18, 2017.
Tags
MICHEZO KIMATAIFA