Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa
Singapore katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Tan Puay Hiang
alipofika Ikulu Mjini Unguja leo ,[Picha na Ikulu,] 03/03/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa
Singapore katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Tan Puay Hiang
alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu,] 10/02/2017.
Tags
ZANZABAR