Waziri wa Elimu, Sayansi na
Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na viongozi mbalimbali
kuhusu masuala ya elimu mjini Dodoma ,Waziri Profesa Ndalichako
amewataka wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya wananchi kuacha kufanya kazi
kwa mazoea na badala yake wafanye kazi Kwa uadilifu, ubunifu, na weledi
wa hali ya juu ili vijana wanamaliza kwenye vyuo hivyo wawe na ujuzi na
uwezo wa kujiajiri wenyewe.
WAKUU WA VYUO VYA MAENDELEO YA WANANCHI WAKIFUATILIA HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU MKOANI DODOMA HII LEO
VIONGOZI WA JUU WA WIZARA YA ELIMU WAKIWASILI KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO VETA, MKOANI DODOMA.
MAMBO YA MSINGI AMBAYO WAKUU WA VYUO VYA FDCs WAMETAKIWA KUZINGATIA;
1-KUACHA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA
2- WAMETAKIWA KUWA WABUNIFU
3- WAMETAKIWA KUFANYA KAZI KWA MSHIKOMANO
4- WAMETAKIWA KUWA WAADILIFU
5- WAMETAKIWA KUTUMIA NA KUTHAMINI RASILIMALI
Tags
ELIMU