Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Sheuin (katikati) akimkabidhi Mwakilishi wa Jimbo la Mkoani Pemba CCM
pia Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Mmanga Mjengo Mjawiri
(kulia) vifaa vya Michezo kwa niaba ya Jimbo lake vitakavyotumika
katika mashindano ya mpira wa miguu kwa majimbo 18 ya Pemba,chini ya
ufadhili wa Mfanya bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza Daramsi (kushoto)
hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo.
Miongoni mwa Vijana wa CCM wa
Majimbo 18 ya mikoa ya Pemba CCM wakiwa katika sherehe za kubabidhiwa
vifaa vya Michezo vya Mpira wa Miguu vitakavyofanikisha mashindano ya
Majimbo hayo,vilivyotolewa na Mfanya bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza
Daramsi na kukabidhiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed Sheuin
(hayupo pichani) katika ukumbi wa Fidel Castro wilaya ya Chake chake
Pemba leo

Pemba leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Sheuin (katikati) akimkabidhi Mwakilishi wa Jimbo la Ziwani Suleiman
Makame Ali (kulia) vifaa vya Michezo kwa niaba ya Jimbo lake
vitakavyotumika katika mashindano ya mpira wa miguu kwa majimbo 18 ya
Pemba,chini ya ufadhili wa Mfanya bishara na Kada wa CCM Mohamed Raza
Daramsi (kushoto) hafla iliyofanyika ukumbi wa Fidel Castro leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Sheuin akizungumza na Viongozi wa CCM na Vijana UVCCM wa Majimbo 18 ya
Mikoa ya Pemba katika hafla ya kukabidhi vifaa vya Michezo
vilivyotolewa na Mfanyabishara na Kada wa CCM,pia Mwakilishi wa Jimbo
la Uzini Unguja, Mohamed Raza Daramsi, hafla iliyofanyika ukumbi wa
Fidel Castro leo,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCm Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Sheuin akipiokea Kombe la Mashindano ya Mpira wa miguu katika Timu
mbali mbali za majimbo 18 ya Mikoa ya Pemba,kutoka kwa Mwanamichezo,
Mfanyabishara na Kada wa CCM,pia Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Unguja,
Mohamed Raza Daramsi,(kushoto) katika hafla ya kukabidhi vifaa vya
Michezo vilivyotolewa na Raza katika hafla iliyofanyika ukumbi wa
Fidel Castro leo,
[Picha na Ikulu.]