Katibu
wa Bunge ambaye pia ni msimamizi wa Uchaguzi wa Wawakilishi wa Tanzania
katika Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Thomas Kashililah akizungumza na
wawakilishi mbalimbali wa Vyama vya Siasa kuhusu uchaguzi wa
Wawakilishi wa Tanzania katika Bunge la Afrika Mashiriki. Wa kwanza
kulia kwake ni Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi. Kikao
hicho kimefanyika leo katika Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi akifafanua jambo katika kikao hicho.
Wawakilishi mbambali wa Vyama vya Siasa wakifuatilia kikao hicho.
(Picha na Ofisi ya Bunge)
Tags
Bunge