TAARIFA KUTOKA KURUGENZI YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU LEO
byJohn Banda-
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi hawapo
pichani kabla ya kuweka jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa ya
barabara za juu Ubungo interchange, Ubungo jijini Dar es Salaam.