Mbunge wa Chalinze jana alihojiwa na tume ya kupambana na kudhibiti
madawa ya kulevya.
Alipoulizwa kuhusu kuitwa huko, mwenyekiti wa tume
hiyo, jaji Siang'a amesema kila aliyetajwa kwenye orodha ya wanaohusika
ataitwa. Naye Ridhwani amesena maelezo aliyopewa yamemsuuza moyo.