BANDA MEDIA BLOG

Kimenuka CCM..Sophia Simba Amvimbia Magufuli,Asema Ahami na Haondoki CCM Ng'oo...!!!!


Siku moja baada ya mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA kuwakaribisha kwenye chama chake kipya waliofukuzwa CCM kwenye mkutano maalum, aliyekuwa mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba amesema amukua kwenye chama hicho kwa miaka 46 na hataenda chama kingine bali atabaki kuwa mkereketwa mwaminifu wa chama cha mapinduzi

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG