Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, usiku huu anahudhuria
Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama unaojulikana kama SADC
Double Troika, mjini Mbabane Swaziland. Mkutano ambao unajadili kwa kina
hali tete ya usalama katika Nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(
DRC) na Nchi ya Lesotho, ambapo Tanzania ni Mwenyekiti wa Asasi hiyo.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Tags
SADC