Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein kabla ya kuanza
kwa kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
NA FULLSHANGWE-MJINI- DODOMA
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akielezwa jambo na Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC
mjini Dodoma leo. kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali
Mohamed Shein
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akielezwa jambo na Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC
mjini Dodoma leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akimsikiliza Katibu Mkuu
wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipokuwa akimfafanulia jambo
kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC mjini Dodoma leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akishiriki kikao cha NEC mjini Dodoma leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo wakati wa
mkutano wa NEC mjini Dodoma leo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mjumbe
kutoka mkoa wa Dodoma Adam Kimbisa katika kikao cha NEC mjini Dodoma
leo.
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akifungua kikao cha
NECmjini Dodoma leo kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee
Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na kushoto
ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Taifa Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati
akifungua kikao hicho leo kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman
Kinana na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk. Ali Mohamed
Shein.
Tags
CCM