Waziri wa habari,sanaa,utamaduni na michezo Mhe Nape Nnauye amesema kuwa
ataiwasilisha ripoti ya uchunguzi wa tukio la kuvamiwa kwa kituo cha
clouds media kwa Rais Magufuli.
Nape amesema hayo leo hii wakati alipokuwa akipokea ripoti hiyo ambayo
ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na watu mbalimbali pamoja na wadau wa
habari ambao walitaka kujua nini kitafuata mara baada ya tume aliyoiunda
juzi kukamiliha kazi yake hapo jana.
Tags
Nape Nnauye
