Katika hali inayoonesha kuwa taarifa zinavuja kwa kasi na ishara kuwa
Mange anakubalika kwa watu wengi hata ndani ya system, Jana Mange
amepost waraka anaodai kutumiwa na mtu toka ndani ya system.
Waraka huo ulioandikwa siri unaelekeza baadhi ya maofisa wa mikoani kutoa taarifa haraka iwezekanavyo kwa vyombo husika pindi atakapoonekana maeneo ya mipakani ili akamatwe na kujibu kesi zinazomkabili....
Mange Kimambi amekuwa mstari wa mbele kuikosoa serikali hii na mambo mbali mbali katika jamii....

Tags
SIASA