Watu wawili wamenusurika kifo baada ya kuwagonga wananchi waliokuwa
katika mazoezi asubuhi ya leo Jumamosi Machi 18,2017 mjini Iringa huku
mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza na katibu tawala Wamoja Ayubu
wakinusurika katika ajali hiyo.
Ajali hiyo imetokea nje ya lango la kamanda wa polisi mkoa wa Iringa dakika tatu tu baada ya kuanza mazoezi kuelekea uwanja wa Samora.
Ajali hiyo imesababishwa na dereva taxi kuwaparamia wafanya mazoezi hao.
Taarifa kamili inakuja hivi punde...

Tags
AJALI/ MOTO/ MAJI