Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa China hapa
nchini Dkt. Lu You qing mara baada ya kuweka jiwe la Msingi katika
Kiwanda kikubwa cha kutengeneza Vigae(Tiles ) cha Good Will kilichopo
katika kijiji cha Mkiwa, Mkuranga mkoani Pwani. Kiwanda hicho kitakuwa
na uwezo wa kuzalisha vigae laki nane kwa siku na mwekezaji ametumia
zaidi ya Dola mil.50 katika uwekezaji huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Balozi wa China hapa
nchini Dkt. Lu You qing akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa
Kiwanda hicho cha vigae kilichopo Mkiwa Mkuranga mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akihutubia
kabla ya kuweka jiwe la Msingi katika Kiwanda kikubwa cha kutengeneza
Vigae(Tiles ) cha Good Will kilichopo katika kijiji cha Mkiwa, Mkuranga
mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Ikwiriri mkoani
Pwani wakati alipokuwa akielekea mkoani Lindi na Mtwara katika ziara
yake ya kikazi ya siku nne.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Ikwiriri mkoani
Pwani wakati alipokuwa akielekea mkoani Lindi na Mtwara katika ziara
yake ya kikazi ya siku nne.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisikiliza maelezo kutoka kwa
Mwakilishi wa Kiwanda hicho cha y Vigae cha Good Will, Huang Heng Chao
kutoka kwa Kiwandani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anapata maelezo kutoka kwa Mkuu
wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo kuhusu matumizi ya Gesi katika
Kiwanda cha Vigae cha Good Will kutoka kwa Kiwandani hapo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Somanga mkoani
Lindi wakati akiwa ziarani lkuelekea mikoa ya Kusini(Lindi na Mtwara).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mbunge wa Kilwa Kusini
Suleiman Bungara(Bwege ) kutoka CUF katika eneo la Somanga wakati
alipokuwa akielekea Nangulukulu katika ziara yake ya mikoa ya Kusini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mbunge wa Kilwa Kusini
Suleiman Bungara(Bwege ) kutoka CUF katika eneo la Nangulukulu, Kilwa
mkoani Lindi wakati akiwa katika ziara ya mikoa ya kusini.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Nangulukulu mkoani Lindi.
Waziri wa Habari Utamaduni na
Michezo Nape Nnauye akifurahia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo la
Nangulukulu mkoani Lindi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Habari
Utamaduni na Michezo Nape Nnauye mara baada ya kuhutubia wananchi wa
Nangulukulu mkoani Lindi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimian na mbunge wa Kilwa
Kaskazini Vedasto Ngombale (CUF) mara baada ya kuhutubia wananchi wa
Nangulukulu mkoani Lindi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi mara baada ya
kuhutubia wananchi wa Nangulukulu mkoani Lindi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi mara baada ya
kuhutubia wananchi wa Nangulukulu mkoani Lindi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia msaada wa Shilingi milioni
moja kijana Abdulrahman Khalid ambaye ni mlemavu wa miguu katika eneo la
Mchinga-1 mkoani Lindi, Katikati(Mwenye shati la maua) ni Mbunge wa
Mchinga Hamidu Bobali kupitia chama cha (CUF) ambaye ameahidi kumpatia
mlemavu huyo kiasi cha Shilingi Milioni moja pia.PICHA NA IKULU
Tags
HABARI KITAIFA