Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.
Dkt. Philip Mpango (MB), (kulia), akipeana mkono na Kaimu Mkurugenzi
Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar
(katikati), baada ya kubadilishana Hati ya Mkopo wa Sh. Bilioni 109.69
kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua- Chaya yenye urefu wa Kilometa
84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango
jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.
Dkt. Philip Mipango (MB), (kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko
wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (kushoto), wakisaini
mkataba wa makubaliano ya mkopo wa wa riba nafuu wa Sh. Bilioni 109.69
kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua- Chaya yenye urefu wa Kilometa
84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango
jijini Dar es salaam..
Baadhi ya wajumbe walioongozana na
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw.
Hamad Al-Omar (hayupo pichani) wakishuhudia utiwaji saini wa mkataba wa
makubaliano ya mkopo wenye masharti nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa
ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua- Chaya yenye urefu wa Kilometa
84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango
jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.
Dkt. Philip Mipango (MB), (mbele kulia) akizungumza na waandishi wa
habari kuhusu umuhimu wa barabara ya Nyahua-Chaya, itakayojengwa kwa
kiwango cha lami baada ya kupata fedha kutoka kwenye Mfuko wa Maendeleo
ya Uchumi wa Kuwait.
Wajumbe kutoka Tanzania
wakishuhudia utiwaji saini wa mkataba wa makubaliano ya mkopo wenye
masharti nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya
Nyahua-Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika
ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.
Dkt. Philip Mipango (MB), (wa tatu kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji
wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (wa tano
kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wengine kutoka
Wizara ya Fedha na Mipango na Wizara ya ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
pamoja na Maafisa wa Serikali ya Kuwait, baada ya kusainiwa kwa mkataba
wa mkopo wenye riba nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa
barabara ya Nyahua-Chaya, yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha
lami, katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.
Dkt. Philip Mipango (MB), (wa pili kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji
wa Mfuko wa Maendeleo ya Uchumi wa Kuwait Bw. Hamad Al-Omar (wa pili
kushoto) wakiondoka baada kusainiwa kwa mkataba wa mkopo wenye riba
nafuu wa Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya
Nyahua-Chaya yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika
ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango, jijini Dar es salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.
Dkt. Philip Mipango (MB), (kulia) na wajumbe kutoka Kuwait wakijadili
jambo baada ya kusainiwa kwa mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa
Sh. Bilioni 109.69 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Nyahua-Chaya,
yenye urefu wa Kilometa 84.5 kwa kiwango cha lami, katika ukumbi wa
Wizara ya Fedha na Mipango jijini Dar es salaam.
Tags
SERIKALI - MKOPO