Hili limekuwa tatizo sasa, wazazi mnawapa watoto wenu mizigo bila kujua.
Majina yana tabia ya ku-reflect tabia ya mhusika... Mfano mtu anaitwa
mashaka, tabu, shida, mawazo,hatia,majuto.
Mfano mtu anaitwa kilevi... Alafu unategemea awe na busara kweli.. Matokeo yake ndo haya mnakuja kuwapa watu shida buree.
Kuweni makini.
