Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo
Ndg John Lipesi Kayombo anawatangazia wafanyabiashara wote wa vileo kuwa
msimu wa kukata leseni za biashara za vileo kwa mujibu wa sheria ya
vileo Na 28 ya Mwaka 1964 na marekebisho
yake unaanza tarehe 1/04/2017.
yake unaanza tarehe 1/04/2017.
Hivyo kila mfanyabiashara anapaswa
kuwasilisha maombi ya leseni za vileo katika ofisi ya Biashara Manispaa
ya Ubungo zilizopo eneo la Kibamba CCM Kabla ya tarehe 15/03/2017.
(Maombi yaambatanishwe na Tax Clearence Certificate na Leseni iliyoisha)
Tags
KODI