.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akisalimiana na Mkurugenzi wa Huduma
za Ufundi (Sekta ya Ujenzi) Dkt. William Nshama wakati alipokagua
maendeleo ya Jengo jipya la Ofisi za Wizara hiyo lililoko Mtaa wa Moshi,
mkoani Dodoma.
Meneja Kanda ya Kati kutoka
Wakala wa Majengo Nchini (TBA-Brigade) Mkadiriaji Majenzi Herman Tanguye
akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa
Makame Mbarawa kuhusu maendeleo ya mgawanyo wa vyumba vya ofisi
yaliyofikiwa Katika Jengo jipya la Wizara hiyo lililoko Mtaa wa Moshi,
mkoani Dodoma.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa
Huduma za Ufundi (Sekta ya Ujenzi) Dkt. William Nshama wakati alipokagua
maendeleo yaliyofikiwa ya mgawanyo wa ofisi katika Jengo jipya la
Wizara hiyo lililoko Mtaa wa Moshi, mkoani Dodoma.
Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi
(Sekta ya Ujenzi) Dkt. William Nshama akifafanua jambo kwa Waziri wa
Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuhusu hatua
zilizofikiwa katika Jengo jipya la Ofisi za Wizara hiyo lililoko Mtaa wa
Moshi, mkoani Dodoma.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kushoto), akisisitiza jambo kwa
Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi (Sekta ya Ujenzi) Dkt. William Nshama
(katikati), wakati alipokagua na kuona mgawanyo wa Ofisi kwa Sekta zake
katika Jengo jipya la Wizara hiyo lililoko Mtaa wa Moshi mkoani Dodoma.
Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo (Sekta ya Ujenzi), Eng. Ven
Ndyamukama.