BANDA MEDIA BLOG

Aliyetoa Maoni "Acha Wafe" Kwenye Habari ya Kuuawa Askari 8 Atiwa Mbaroni Mbeya



Aliyetoa maoni ktk Tweet ya Millard Ayo kwamba Askari 8 waliouwawa acha wafe, amekamatwa na Polisi Mbeya kwa kauli hiyo

Tuwe makini sana na Tunayoandika ama kukoment kwenye mitandao.....

Post a Comment

Previous Post Next Post
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG
BANDA MEDIA BLOG