Breaking News...Panya Road Warudi Dar Kwa Kasi ya Kimbunga..Wateka Gari la Harusi na Kufanya Unyama wa Kutisha..!!!!
byJohn Banda-
0
Kimenuka maeneo ya mzinga Kongowe jijini Dar es Salaam vijana wahuni
almaruuf kama panya rod wanafanya yao wameteka gari ilokua na msafara wa
harusi na kuwajeruhi baadhi ya watu waliomo...