Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.
Wagogo: wazuri wanawake ila kwa uvivu ndo wenyewe wanawake wanaume ni wavivu sana.
Ndo maana hawaishi kuomba ilmradi tu kuomba utasikia "naomba chochote"
Warangi: ni wazuri wa sura vitu vyeupeee utadhani waarabu ila sasa mhh mwakitombile, warangi ni kiboko.
Wasukuma: wazuri wa mwonekano, wakarimu sana ndo maana mara nyingine
wanaonekana mafalah sio ufalah ni ukarimu uliopitiliza, usiombe kukuta
baadhi ya wasukuma wamefanikiwa ndo zinakua type hizi tunazozijua hapa.
Wairaq/wa mbulu: wazuri sana sura na shape zao ila wakorofi hatari, pia
nao sio wachoyo kama warangi, afu hawa kugongana ndugu kwa ndugu sio
ajabu.
Wanyakyusa: wanawake wana miili ya kuchezea mieleka wanene wamepanda hewani, ni wakarimu kwakweli ila kwa ubabe pia mmmh
Waha: wengi wao wafupi, wana bidii sana ya kazi, wengi wao waaminifu
sana, ila kwa ubishi jamani mweh muha anaweza kuwa wa kwanza duniani kwa
ubishi, na kwenye ushirikina wapo vizuri
Wapare: wengi wao wafupi, wazuri wa sura ila wapare wana roho mbaya mi binafsi Sijawahi kukutana na mpare mwenye roho nzuri.
Wakurya: hawa jirani zangu mi mwenyewe huwa nawaogopa sana, ni wakatili
mno, mkurya akikuambia nitakuchinja hata kama ni utani ndugu yangu
kimbia speed kali hadi miguu iguse kichwa
Wanyamwezi : hawa ni kama aina tu ya wasukuma wana tabia za wasukuma ila
kwa ushirikina wanyamwezi kiboko, enzi hizo mme hukai hivi hivi hadi
mama akutengeneze sijui sasa hivi.
Wachaga: wazuri wa sura, watafutaji, wanaume baadhi wanajitahidi kujali
familia, miguu fito, maumbo yao huwa yana makosa ya kiufundi, ila siku
hizi afadhali kwa sababu ya intermarriage basi wanazaliwa wachaga wenye
maumbo ya kueleweka
Wakerewe: hawa nao kwa kujivuna hawajambo wakati wanamiliki furu tu, kwa ushirikina pia wapo wapo
wachaga(wamarangu) :wastaarabu sana, wengi ni wazuri na watanashati.
watafutaji wazuri wa eleri(pesa). wanaheshima, wanapendana, hawana
ubinafsi kama wapare. sio washirikina kama wasambaa, wapole, wanapenda
kujenga kwao,wanawai kumiliki magar kwa umri mdogo. waaminifu kwenye
mapenzi.
waburunge/wasi wazuri kwa sura na tabia njema wapole na wakarimu ila
huishi na kundi kubwa la ndugu ukioa /kuolewa na watu hao jiandae kulea
kijiji kizima
Tags
MAKABILA
