BBC ni moja kati ya shirika kubwa ambalo hufaamika kwa kutoa taarifa za
habari mbalimbali,lkn mnamo 18 April 1930 ikiwa ni miaka 87 imepita
shirika hilo lilikosa habari ya kutangaza! ilipofika muda wa kutangaza
habari mtangazaji alisema "hakuna habari" hivyo walitumia muda huo
kurusha vipindi vyengine.moja kati ya sababu iliyosababisha kukosa
habari ni teknolojia ya miaka hiyo!
Chanzo BBC wenyewe
Tags
BBC
