Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akisalimiana na Mkurugenzi wa Kitengo cha Maadhimisho Bi.Flora
Mazeleng’we alipotembelea uwanja wa Jamhuri Dodoma ili kuangalia
maandalizi ya maadhimisho ya Sherehe za Miaka 53 ya Muungano. Aprili 21,
2017.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jordan
Rugimbana akizungumza wakati wa maandalizi ya Maadhimisho ya Sherehe za
Miaka 53 ya Muungano katika viwanja vya Jamhuri Dodoma Aprili 21, 2017.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya
maandalizi ya Maadhimisho ya Sherehe za miaka 53 ya Muungano
wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa (hayupo pichani) wakati wa maandalizi ya
sherehe hizo Aprili 21, 2017 Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya
Maadhimisho ya Muungano Bw.Yusto Chuma akionesha michoro ya muonekano
wa uwanja wa Jamhuri kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe.Jenista
Mhagama wakati wa maandalizi ya Maadhimisho ya Miaka 53 ya Muungano
yanayoendelea Dodoma Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais
(Muungano na Mazingira) Mhe.January Makamba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akieleza jambo wakati wa ziara ya kukagua maandalizi ya sherehe za
Muungano katika viwanja vya Jamhuri Dodoma wa kwanza kushoto ni Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.January
Makamba na kulia Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe.Jordan Rugimbana.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akitoa maelekezo ya kuboresha maeneo kadhaa katika Uwanja wa Jamhuri
wakati wa maandalizi ya Shereha za Maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano
Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu (Sera, Bunge, Ajira na Watu wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama
akiongea jambo wakati alipotembelea Viwanja vya Jamhuri Dodoma ikiwa ni
sehemu ya maandalizi ya Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 53 ya Muungano.

(PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU-DODOMA)