| Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi Selemani Jaffo akipiga mpira Golini wakati alipokuwa akizindua Copa Ummiseta katika uwanja wa jamhuri mjini Dodoma |
| Moja ya timu ya wasichana wa shule za sekondari mjini Dodoma ikisubili kukaguliwa kabla ya uzinduzi wa Copa Ummiseta yanayodhaminiwa na Kinywa laini cha Coca cola [PICHA NA JOHN BANDA WA BANDA BLOG] |
| Add caption |
| Afsa masoko msaidizi wa kampuni ya vinywaji baridi ya Coca Cola Pamelaa Lugenge akizungumza kwenye uzinduzi huo |
| Mkurugenzi wa Elimu Ofisi ya Rais Tamisemi Juma kaponda akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi huo |
| Badhi ya walimu wa shule mbalimbali za sekondari wakiwa uwanjani hapo wakati wa uzinduzi huo |
| Jaffo akitoa wosia kwa wachezaji wa Timu za kanda ya kwanza na ya Nne kabla ya kuanza mpambano baada ya uzinduzi |
| picha ya Pamoja |
Tags
COPA UMMISETA